Mechi ya Simba vs Kagera imeahirishwa kwa sababu ya severe flu

Mechi ya Simba vs Kagera imeahirishwa kwa sababu ya severe flu

Wangapi wapo isiiyuu, au wanahali mbaya, au ni hali ya kawaida tu.

Ni kile kiugonjwa kilichochapa watu wengi wiki iliyopita na ile nyingine...si ugonjwa wa kuweka watu ICU
 
Wapinzani wa nchi hii ni waajabu Sana, nakumbuka kipindi Cha Jpm Kila siku ilikua ni Corona, covd 19.

Kwa Sasa ambapo inatupiga hasa hasa wao wapo kimya.
 
Back
Top Bottom