Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vyovyote itakavyo kuwa lazima mwarabu akufeUwe unaangalia kwanza hayo masaa yapo kwa masaa ya zone ipi. View attachment 2590681
Ndio, jua na joto ni kali zaidi kwao kipindi cha Summer, ila hakuna muarabu anayekaa juani ovyo ovyo, AC ni basic need kama chakula au umeme vile Tz wakati ngozi nyeusi sisi tumezoea kukaa juani, kufanya kazi juani, nyumba zenye AC Dsm hazifiki hata 20%. Waleteee waleteeKama ni jua mbona kwa wenzetu ndio kali zaidi joto ndo balaa kabisa sielewagi logic ya wabongo na mpira juani. Nyie jipangeni kama jana mlivyompiga yanga jipangeni sanaaaaaaa mtatoboa hayo mambo ya jua sjui liwake sana mtafungwa na jua lenu
Mtoano gani tumecheza na Wydad.? Unafananisha WYDAD CASABLANCA na RAJA CASABLANCA.?... mtoano mlipigwa nje ndani ndio mtamkalisha qtr finals? Be serious! Jiandaeni tu kisaikolojia mbio za Simba ndio zimefikia mwisho.
Hii ni mbinu ya kivita, hongera Simba!Kwa ratiba hii tuombee Sana siku hiyo jua liwake vya kutoa ili wapinzani wetu waingia kwenye mfumo.View attachment 2590668