Mechi ya Simba vs Wydad ni saa 8:00 mchana

Kama ni jua mbona kwa wenzetu ndio kali zaidi joto ndo balaa kabisa sielewagi logic ya wabongo na mpira juani. Nyie jipangeni kama jana mlivyompiga yanga jipangeni sanaaaaaaa mtatoboa hayo mambo ya jua sjui liwake sana mtafungwa na jua lenu
Ndio, jua na joto ni kali zaidi kwao kipindi cha Summer, ila hakuna muarabu anayekaa juani ovyo ovyo, AC ni basic need kama chakula au umeme vile Tz wakati ngozi nyeusi sisi tumezoea kukaa juani, kufanya kazi juani, nyumba zenye AC Dsm hazifiki hata 20%. Waleteee waletee
 
... mtoano mlipigwa nje ndani ndio mtamkalisha qtr finals? Be serious! Jiandaeni tu kisaikolojia mbio za Simba ndio zimefikia mwisho.
Mtoano gani tumecheza na Wydad.? Unafananisha WYDAD CASABLANCA na RAJA CASABLANCA.?

alafu hata hao Raja Casablanca tumecheza nao Hatua ya makundi sio mtoano..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…