Mechi ya SSC na AFC ilikuwa ya wachezaji kamali?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kila mtu alishangaa timu kwa mara ya Kwanza inafunga MTU goli 4 baada ya mfululizo wa sare, goli moja mwisho 2 tena Kwa taaabu sana. Kumbe kuna namna!

Kila mtu alishangaa inakuwaje siku stars inacheza mtu anapanga mechi ya kirafiki fasta fasta chap chap bila kufuata kanuni, kumbe iko namna bhana

Kila mtu atashangaa kwanini Takukuru haijashika mtu hadi sasa tunavyoongea.

Kila mtu anashangaa kwanini tffc inanyamazia uhalifu wa aina Ile.

Ni tetesi tu
 
Hivi kumbe bado SHISHA iko mitaaaaani! daaaah pole dada yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…