Kabisa ZBC2 LIVEUna uhakika Mkuu watu tulambe feeza za Wana nzengo
209
Wamenyofoa ZBC tangu mechi ya Simba na As VitaWekeni link aiseee, halafu AzamTv app yao wamepunguza channel, wanazingua...
Wangeweka option ya kulipia kama wanaona tunafaidi, wanachofanya ni ukiritimba wa kijinga.
Kabisa, nilishangaa sana last week.Wangeweka option ya kulipia kama wanaona tunafaidi, wanachofanya ni ukiritimba wa kijinga.
Fursa ya biashara ya wazi wao wanafikiria kubaniana.
SuperSports 209.Tafadhal tujuzane wadau