Mechi ya Taifa Stars inaonyeshwa channel ipi

Mechi ya Taifa Stars inaonyeshwa channel ipi

Tanzania nchi yetu bado tupo nyuma sana kwa techology...mechi muhimu kama hii wanashindwa kuweka online watu walipie japo elfu tano walio mbali na nyumbani ili wapige hela zaidi.Wenzetu wamendelea wanaangalia Tv za kwao mpaka raha...ukitoa Azam Tv zingine hamna kitu...kama hiyo TBC ndio bure kabisa.
 
Back
Top Bottom