SUPER PREDATOR
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 2,093
- 725
Wakuu naomba mwenye taarifa ya mechi ya Leo inaanza saa ngapi?, na je television yetu ya taifa itaonyesha mechi hii na kama television yetu ya taifa haitaonyesha ni television ipi itaonyesha ili tuangalie live. Na kama television yetu ya taifa haitaonyesha mechi hii ya taifa stars wananchi tufanye nini ili mechi zijazo ziwe zinaonyeshwa na TBC 1 ili sisi walipokodi wa nchi hii tusio na uwezo wa kwenda uwanja wa taifa tuweze kuiona timu yetu ya taifa stars live?. Asanteni kwa kunielewa
Nadhani itapendeza TV ya taifa ibaki na maswala ya jamii. Ya michezo yafanywe na TV zingine. Tanzania ya leo si ya jana kila kitu serikali. Kinachotakiwa ni uboreshaji wa huduma zake.
tbc wataonyesha
Wataonyesha tbc tatizo huu mgao wao sasa yaan hii nchi huu ugonjwa hatuponi kamwe,
mechi inaanza saa ngapi mkuu
saa kumi na nusu
Watanzania wanaiombea kichapo tu timu yao.maana hawaitaki ccm
Wataonyesha tbc tatizo huu mgao wao sasa yaan hii nchi huu ugonjwa hatuponi kamwe,
Mkuu timu ya taifa na ccm vinahusiana kivipi?
Game itaanza 16:30hours. Kuhusu tbc cjui.
Mechi itaoneshwa live ZBC 2Kama TBC1 hujui, kuna TV yeyote unayofahamu kama itaonyesha?
Mechi itaoneshwa live ZBC 2
kwa mujibu wa azam tv facebook page
ZBC 2 wataonesha