al-bauly
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 343
- 108
Mkuu sisi tusiokuwa na king'amuzi cha ZBC 2 tutaonaje?
Tafuta njia nyengine mkuu, hakuna msaada zaid hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sisi tusiokuwa na king'amuzi cha ZBC 2 tutaonaje?
Nadhani itapendeza TV ya taifa ibaki na maswala ya jamii. Ya michezo yafanywe na TV zingine. Tanzania ya leo si ya jana kila kitu serikali. Kinachotakiwa ni uboreshaji wa huduma zake.
Mkuu sisi tusiokuwa na king'amuzi cha ZBC 2 tutaonaje?
Kama uko dar Karibu home sinza mkuu tujumuike,..
Mkuu hili kifoleni la Dar kama anatokea Mbezi ya Kimara si atakita game is over?
we ni kiazi kweli
ZBC2 watakua live mkuu.Kuhusu TBC sijui.
Kama uko dar Karibu home sinza mkuu tujumuike,..
we ni kiazi kweli
Tafuta njia nyengine mkuu, hakuna msaada zaid hapo.
Mkuu msamehe bure tu maana hajui kama michezo pia ni sehemu ya kazi za kijamii
we ni kiazi kweli
Umeshindwa kunielewa inaonyesha "unaona ufahari"TV ya taifa kuonyesha mechi. Sio lazima ionyeshe ni jambo la utaratibu tu.
Sioni ulazima wa TBC kuonyesha mechi kila wakati timu ya taifa inapokuwa katika michuano, tuna chaneli nyingi Tanzania ambazo zinaweza kufanya jambo hilo. Uelewa wako mdogo unadhani ni jukumu la TV ya serikali tu.
ZBC2 Live kipute ndio kinaelekea kuanza
TBC one umeanza kurusha matangazo.lets keep in touch.