Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

Status
Not open for further replies.
Nadhani itapendeza TV ya taifa ibaki na maswala ya jamii. Ya michezo yafanywe na TV zingine. Tanzania ya leo si ya jana kila kitu serikali. Kinachotakiwa ni uboreshaji wa huduma zake.

we ni kiazi kweli
 
Tafuta njia nyengine mkuu, hakuna msaada zaid hapo.

Sawa mkuu sasa kama umesoma vizuri uzi mkuu kuna swali moja linauliza kuwa tufanyeje ili TBC1 ambayo ni TV ya taifa waanze kuonyesha mechi za taifa stars
 
Zbc2 wameanza kurusha matangazo ya mpira live game inaanza 16:30 kamili
 
we ni kiazi kweli

Sioni ulazima wa TBC kuonyesha mechi kila wakati timu ya taifa inapokuwa katika michuano, tuna chaneli nyingi Tanzania ambazo zinaweza kufanya jambo hilo. Uelewa wako mdogo unadhani ni jukumu la TV ya serikali tu.
 
Mkuu TBC1 wamejiunga na ZBC wanaonyesha live
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom