Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Mashabiki wenzangu wa Tunisia, mmusiwe na wasiwaai,,,,ushindi upo

Sisi Tunisia 3-0 wao Tanzania
 
Tukiifunga Tunisia usiku huu ni bahati hatuna uwezo/kiwango cha kushandana na Tunisia.
 
Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika
====
Kama una mb za kutosha, fuatilia kupitia hiyo link
Mpk sasa saa 3 bado hujaanza taarifa yako sio makini Tanzania tujuane pleas
 
Hivi hii taifa stars ina kocha kweli? Dah, yaani wachezaji hawana maelewano kabisa, hawajiamini hawajitumi yaani wanakimbia kimbia tu uwanjani
 
Goli la mapema wanja la Benjamin Mkapa
Tunisia inaongoza 1 goli la kustukiza, uwanjani waTanzania . Aggregate 2 . Dakika ya 22 mchezo unaendelea live:
 
Back
Top Bottom