Mechi ya Tanzania na Uganda inachezwa Lini?

Mechi ya Tanzania na Uganda inachezwa Lini?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Mimi ni mzalaendo wa michezo Tanzania, nataka nijue siku ya hii mechi muhimu. Karibuni
 
Bora tuwape tu ushindi wa mezani hao Uganda wa kusonga mbele. Nani anataka presha za akina Kibu Denis!!
 
Kwani na yale manundu ya kule Misri kwenye pre season yenu, nayo yameishia wapi? Au mnafikiri hatufahamu kama Waarab waliwatandika pia goli 2 -0?
Ilikua ni pre season, nyie sasa kwenye sikukuu yenu. Lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilikua ni pre season, nyie sasa kwenye sikukuu yenu. Lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama ni siku yetu. Ila bado inaangukia kwenye pre season. Ligi bado haijaanza.
 
Back
Top Bottom