Mechi ya VPL, Kariakoo Derby | Simba SC Vs Yanga SC | Uwanja wa Mkapa Yaahirishwa

Kwa kikosi cha Simba ni wazi na dhahiri kwamba Ushindi ni jambo la Kusubiri muda tu. Wachezaji wako na Exposure na Wako hatua kubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika hivyo lazima waonyeshe Thamani yao. Mtani wetu MAYAI VIZA FC tunawapendeni sana lkn leo mtusamehe. SIMBA NGUVU MOJA💪💪💪
 
Hii timu si ndio iliyoshindwa kupiga shuti hata moja golini kule zanzibar?manunu fc atajuuta kwenda uwanjani
 
TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku.

TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.


Ghazwat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…