Simba hapati goli hata moja.
Narudia tena kwa herufi kubwa, SIMBA HAPATI HATA GOLI MOJA.
Sio lazima uamini lakini huo ndo ukweli
Mkuu leo kuna mambo mawili tu kuhusu hii mechi:
1. Simba kushinda.
2. Yanga kupoteza mechi.
Tukutane kwa Mkapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba hapati goli hata moja.
Narudia tena kwa herufi kubwa, SIMBA HAPATI HATA GOLI MOJA.
Sio lazima uamini lakini huo ndo ukweli
[emoji3577]
Urudi kuikana comment yako mnyama akichamchakaza huyo ndala,Simba hapati goli hata moja.
Narudia tena kwa herufi kubwa, SIMBA HAPATI HATA GOLI MOJA.
Sio lazima uamini lakini huo ndo ukweli
Manunu fc tunawaua leoo😀Hii timu si ndio iliyoshindwa kupiga shuti hata moja golini kule zanzibar?manunu fc atajuuta kwenda uwanjani
Simba mwenyewe mbayaaa😏
😀😀 itakua vice versa hii, tukutane uwanjani
Rafiki na wewe ni utopolo?[emoji3][emoji3] itakua vice versa hii, tukutane uwanjani
Yaani acha iniueee siwezi kuhama katu, Simba siwapendiiRafiki na wewe ni utopolo?
Umekosea sana itabidi tuunde kamati ya kuja kukuokoa kutoka huko. [emoji23][emoji23]