Mechi ya Yanga FC Vs Mediama - Uwanja wa Taifa, Dar 16 July 2016

Mechi ya Yanga FC Vs Mediama - Uwanja wa Taifa, Dar 16 July 2016

Hawa Yanga na mashaka kama watashinda hii game kama wakiendelea kucheza hivi...
 
Yanga wanakosa bao la wazi hapa dk ya 35 chilwa mkosaji
 
Nafasi kama hizi huwa hazipatikani kila wakati
 
Back
Top Bottom