Alphaking2023
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,092
- 2,123
Unayo link?Livestream
Unatakaje labda?humu kila mtu reporter yan
Halafu bado anang'ang'aniwa.Oscar hajawahi kuwa mchezaji mzuri hata siku moja.
Saidia link hapa mkuuLivestream
Unatakaje labda?
Wengine hawana access Na mpira ndio tunatoa taarifa.
Toeni hiyo mikono yenu huko chini, tutashindaNafasi kama hizi huwa hazipatikani kila wakati
Hahahaah labda waliopo uwanjaniToeni hiyo mikono yenu huko chini, tutashinda
Jamaa hapo ndio wamewashika yangaKatikati yanga amezidiwa sana