Yanga wanashambulia kwelikweli
Yanga wamedominate mpira kwa dakika za mwanzo ila sasa mazembe nao wameanza kushambulia.!Yaaani wakipata goli Mazembe tu japo moko Yeboyebo mmeumia Yanga 1 Mazembe 1.5
Sawa.= uharibifu
= uharibifu
Huyo tutamshangilia akiwa Na timu ya taifaMimi namshangilia Ulimwengu leo....kina Kamusoko sio Watz
Umeoteshwa wanafungwa??bado yanga hajapigwa tu?
Hahahaah ingekuwa kiingilio wangeshangilia katika runinga.!mmelipiwa na manji bado mnaishangilia tp mazembe kweli these hoes a'nt loyal