Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
Wana Yanga tu ndio wangeruhusiwa kuingia Taifa leo, kuishangilia timu yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana Yanga tu ndio wangeruhusiwa kuingia Taifa leo, kuishangilia timu yao.
kwani hawajalipwa?Yanga ndo watawajibika na huo uhalibifu
Don't be too sure the road is very unpredictable!Imebaki nusu saa tu TP Mazembe tuanze utumbuaji.......
Una mawazo mgando aisee kwahyo kama yanga ndo imetangulia haiwezi kuwa Mali ya ccm?Ccm na yanga kipi kilitangulia? Acha kufikiri kichamachama au rangi za jezi ndo zinakuchanganya
Wewe mwenye mawazo myeyuko ndo umefika mwisho wa kufikiri hapo!![emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]Una mawazo mgando aisee kwahyo kama yanga ndo imetangulia haiwezi kuwa Mali ya ccm?
Safi sana safi sana mdau tuko pamoja nami naiombea the super hero the untouchable TPM wacharaze hizo ndala bao 3 tu zinatosha kumnyamazisha yule domokaya wao muroImebaki nusu saa tu TP Mazembe tuanze utumbuaji.......
Hebu msikilize huyu jamaa ndo ujue TP Mazembe walivyojiandaa.Imebaki nusu saa tu TP Mazembe tuanze utumbuaji.......
sio Yanga wa kuwajibika, ni 'TIMU MWENYEJI' wa kimataifa.......Yanga ndo watawajibika na huo uhalibifu
Wamelipwakwani hawajalipwa?