Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Nani awajibike na huu uhalibifu?
mpira.jpg
 
Manji na Ccm wao.Cha bure ni kuhudhuria msiba tu
 
Una mawazo mgando aisee kwahyo kama yanga ndo imetangulia haiwezi kuwa Mali ya ccm?
Wewe mwenye mawazo myeyuko ndo umefika mwisho wa kufikiri hapo!![emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
 
Imebaki nusu saa tu TP Mazembe tuanze utumbuaji.......
Safi sana safi sana mdau tuko pamoja nami naiombea the super hero the untouchable TPM wacharaze hizo ndala bao 3 tu zinatosha kumnyamazisha yule domokaya wao muro
 
Yanga 2 TP 1. Sipati picha hizo shangwe zitakazoibuka hapo. Asante manji kwa kuwawezesha akina mchika kugu kuona Mechi ya kimataifa
 
Back
Top Bottom