OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #261
Ile mbona hairudiwi tuone kama ni penati au lah.Yanga wanabebwa hadi hasira
Tom Ulimwengu alikuwa alete madhara kwa Yanga
Tp mazembe wanatandaza kandanda safi kama samba ya brazil
Hawa ni wazoefu hawana presha sana, muhimu ni yanga kuzitumia vizuri nafasi wanazozipata wasijekujutia baadae.!Kadi zimeshawachanganya tunahitaji kuongeza presha