Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Penaaaat..hapana... namna gani hapa.TP Mazembe walikuwa wanaenda kufunga.Kamusoko amefanya takoling hapa
 
608dad24aadfd560146383b7f7da4f4c.jpg


Bein sport wako live bein HD 3
 
Naipenda Yanda watoto wa Jangwani! Wapi wimbo wa msaga sumu? Please share.
 
Juma Abdul anapiga paleeeee.Yanga wanapoteza nafasi nzuri sana langoni mwa tp
 
Yanga nafasi hizi wanazozipoteza watazijutia baadae.!
 
Kadi zimeshawachanganya tunahitaji kuongeza presha
 
mechi ya aina yake. ndani mashabiki wanashangilia, nje mabomu yanarindima. Haitakuwa na implication yoyote kwa CAF dhidi ya Yanga?
 
Kadi zimeshawachanganya tunahitaji kuongeza presha
Hawa ni wazoefu hawana presha sana, muhimu ni yanga kuzitumia vizuri nafasi wanazozipata wasijekujutia baadae.!
 
Back
Top Bottom