Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,083
https://www.google.com/url?sa=t&sou...d2cOdmjxAoAN0UWww&sig2=Nj2R6XWQCDT-uaObXK2igA Ni app inaitwa mobi kola ukidownload nenda bein HD LIVE KULA RAHALete link baba na sisi tuucheki kwa simuu
Sio Tupisa...ni Tou PuissantYanga wangekuwa wamevaa jezi ya timu ya Taifa ningewashingilia; Mbwatukaji Muro - O, Tupisa Mazembe Englebee - 5.
Da! wazulu wanajua kuchambua soka..wanasema yanga ana bahati hajafungwa hadi sasa..wanasema mabeki wa yanga watetemeka miguu kama wamekunywa pombe flani yakienyeji ya kizulu..
nitaendelea kuwajuza..kwakweli nimewakubali ni wakweli
nyau weweDa! wazulu wanajua kuchambua soka..wanasema yanga ana bahati hajafungwa hadi sasa..wanasema mabeki wa yanga watetemeka miguu kama wamekunywa pombe flani yakienyeji ya kizulu..
nitaendelea kuwajuza..kwakweli nimewakubali ni wakweli
Mbona nakutana na kiarabu[emoji134]https://www.google.com/url?sa=t&sou...d2cOdmjxAoAN0UWww&sig2=Nj2R6XWQCDT-uaObXK2igA Ni app inaitwa mobi kola ukidownload nenda bein HD LIVE KULA RAHA
angalia kwenye nembo ya yanga click utaona kitu liveMbona nakutana na kiarabu[emoji134]
Papaa karibu kwenye tamasha la kuipongeza TP MAZEMBE .Bamutu bote ba kongo...tukuye kwa wingi, tukae tunapika makelele ya kufa mutu, kusapoti mapetii ya le tupwisaa yafumue mutu goli tisa kwa mduara.
Tukuye wote kutoka fasi yote ya Lubumbash,
kasarani, Mbuji mayi, Bukavu na Kinchasaa...
jicho ya kenge mumayi, bariki yote munakuya kuona #yeboyebo anapompiwa kwa fasi ya mpotompoto...
tolekaaaaa Malembe na ngai
Mutu Mubi na AjaLi zangu
#MinyooshoInk
Bamutu bote ba kongo...tukuye kwa wingi, tukae tunapika makelele ya kufa mutu, kusapoti mapetii ya le tupwisaa yafumue mutu goli tisa kwa mduara.
Tukuye wote kutoka fasi yote ya Lubumbash,
kasarani, Mbuji mayi, Bukavu na Kinchasaa...
jicho ya kenge mumayi, bariki yote munakuya kuona #yeboyebo anapompiwa kwa fasi ya mpotompoto...
tolekaaaaa Malembe na ngai
Mutu Mubi na AjaLi zangu
#MinyooshoInk
Wakishinda utafuta kauli?Soka la bongo ni pasua kichwa mtaona maajabu yake