Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Da! wazulu wanajua kuchambua soka..wanasema yanga ana bahati hajafungwa hadi sasa..wanasema mabeki wa yanga watetemeka miguu kama wamekunywa pombe flani yakienyeji ya kizulu..
nitaendelea kuwajuza..kwakweli nimewakubali ni wakweli
 
Wamchangani mna matatizo sana
 
Mchambuzi wa Tbc anasema ile kosa kosa ya Thomas ulimwengu ilikuwa ni penati
 
SWALI LA KIPIMAJOTO ITV. Je kujaa kwa uwanja wa Taifa siku ya Jumanne tangu saa moja asubuhi, Tatizo la ajira limeongezeka au mapenzi ya soka yameongezeka, au tabia ya kupenda bure imeongezeka?......Mimi nimejibu Sijui
 
Da! wazulu wanajua kuchambua soka..wanasema yanga ana bahati hajafungwa hadi sasa..wanasema mabeki wa yanga watetemeka miguu kama wamekunywa pombe flani yakienyeji ya kizulu..
nitaendelea kuwajuza..kwakweli nimewakubali ni wakweli
nyau wewe
 
Mashabiki wa Yanga wanatia aibu.Hawawajibiki kuwatia mizuka wachezaji,wapo kimya sana wanasubiri goli tu wao.hawajiamini.tendeeni haki BURE
 
Bamutu bote ba kongo...tukuye kwa wingi, tukae tunapika makelele ya kufa mutu, kusapoti mapetii ya le tupwisaa yafumue mutu goli tisa kwa mduara.
Tukuye wote kutoka fasi yote ya Lubumbash,
kasarani, Mbuji mayi, Bukavu na Kinchasaa...
jicho ya kenge mumayi, bariki yote munakuya kuona #yeboyebo anapompiwa kwa fasi ya mpotompoto...
tolekaaaaa Malembe na ngai

Mutu Mubi na AjaLi zangu
#MinyooshoInk
 
Tunaandaa onyesho maalum kwa kushirikiana na bendi maarufu ya kikongo iliyopo hapa D'salaam ili kuipongeza TP MAZEMBE .
 
4c67c7dd5454b6e89c5e403d6e498c53.jpg
Unataka kuanza kipindi cha pili
 
Bamutu bote ba kongo...tukuye kwa wingi, tukae tunapika makelele ya kufa mutu, kusapoti mapetii ya le tupwisaa yafumue mutu goli tisa kwa mduara.
Tukuye wote kutoka fasi yote ya Lubumbash,
kasarani, Mbuji mayi, Bukavu na Kinchasaa...
jicho ya kenge mumayi, bariki yote munakuya kuona #yeboyebo anapompiwa kwa fasi ya mpotompoto...
tolekaaaaa Malembe na ngai

Mutu Mubi na AjaLi zangu
#MinyooshoInk
Papaa karibu kwenye tamasha la kuipongeza TP MAZEMBE .
 
Bamutu bote ba kongo...tukuye kwa wingi, tukae tunapika makelele ya kufa mutu, kusapoti mapetii ya le tupwisaa yafumue mutu goli tisa kwa mduara.
Tukuye wote kutoka fasi yote ya Lubumbash,
kasarani, Mbuji mayi, Bukavu na Kinchasaa...
jicho ya kenge mumayi, bariki yote munakuya kuona #yeboyebo anapompiwa kwa fasi ya mpotompoto...
tolekaaaaa Malembe na ngai

Mutu Mubi na AjaLi zangu
#MinyooshoInk

Hahaaaa goli moya banatosha
 
Back
Top Bottom