Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Huyu refa namna gani jamani?
Mbona simuelewi...anafinya sana kwetu.
 
Mashabiki wa Yanga wanatia aibu.Hawawajibiki kuwatia mizuka wachezaji,wapo kimya sana wanasubiri goli tu wao.hawajiamini.tendeeni haki BURE
Jamani kuweni na huruma na binadamu wenzenu , watu wapo Taifa tangu 10 alfajiri watapata wapi nguvu za hivyo ?
 
Goooh hapana.Asale amepiga bonge la shuti.Dida anaifata pale.daah
 
Safiiiiii,Yanga wana move vizuri sana
 
Chura naruka ruka chura, chura nanesa nesa chura!

Yanga kama chura wa Snura vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…