Bein Sport 1 Live Stream | Bein Sport 1Lete link baba na sisi tuucheki kwa simuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bein Sport 1 Live Stream | Bein Sport 1Lete link baba na sisi tuucheki kwa simuu
Tupoooooo,vipi unasemaje?Yanga mko wapi hapa jukwaani.mnatuacha wenyewe
Jamani kuweni na huruma na binadamu wenzenu , watu wapo Taifa tangu 10 alfajiri watapata wapi nguvu za hivyo ?Mashabiki wa Yanga wanatia aibu.Hawawajibiki kuwatia mizuka wachezaji,wapo kimya sana wanasubiri goli tu wao.hawajiamini.tendeeni haki BURE
we wikolo ulupwila matula hahaha nemi insipo pa chiwanja katavi uwino alulolaMli uli mwee! Weni aluchinda ningo, Yanga au Mazembe?
Naam...0-0?
nifan umeingia bureeeehNaam...
ha ha haaa!! alupwila Matulu!we wikolo ulupwila matula hahaha nemi insipo pa chiwanja katavi uwino alulola
Nipo home,sitaki kufa mienifan umeingia bureeeeh
Ila kacheza vizuri sana aiseee...Twite anatumia nguvu,Adama yupo chini