na mabomu wamepigwa!!Mapato hawajapata Na kufungwa wamefungwa
Sema yanga HAWANA point hata nusu, yaani zero points ndo wanazo!Yanga wamwisho kwenye kundi lao.
Humu kuna mashabiki wa Spain na England wengi ndo wanaleta hasira humu kma watu niwazarendo lazma waone kiasi cha game hii team ya Yanga kilivyo ongezeka wanastahili hongera
Kwa ngapi vile?Yanga anaongozwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani mwendokasi Mbagala zipo?? Ndio mashabiki wa Yanga wanakokaa huko.. Mbagala, Kongowe, Vikindu kuilekea Ikwiriri
Uko karibu mkuuu? Nikutafutee ata nikupe bia moja ila ka hutumiii nisameheeuko juu sana mjomba chukua bonge la hongera.
Heshima kwako mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]YANGA 0-1 TP MAZEMBE!! Tofauti na hapo nipigwe BAN ya siku moja Moderator be aware
Mkuu Kiukweli ka upo karibu tutafutane tupate moja bariiiiiiiiiiiiiidiiiiiiHeshima kwako mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]