Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Hahaaaaaaaaa...Leo kwa hasira watatembea hadi ikwiriri😀😀😀😀Kwani mwendokasi Mbagala zipo?? Ndio mashabiki wa Yanga wanakokaa huko.. Mbagala, Kongowe, Vikindu kuilekea Ikwiriri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaaaaa...Leo kwa hasira watatembea hadi ikwiriri😀😀😀😀Kwani mwendokasi Mbagala zipo?? Ndio mashabiki wa Yanga wanakokaa huko.. Mbagala, Kongowe, Vikindu kuilekea Ikwiriri
Wanadaiwa magoli mawili mkuu sifuri kubwaa kuliko hasiBinti hasira za nini?? Saga chupa unywe.. Mna point sifuri na magoli sifuri mpaka sasa
Huku kwenye magazeti kama ni makombe nafikiri yamekosa hata sehemu ya kuyaweka maana sisi wa kimataifa baba ila tunakufaga kiume, teh teh tehHaya mpira wa kwenye pitch umeisha tunahamia kwenye magazeti sasa huku hata Barcelona inakaa.
ndio tumeingia bure na bao mmepigwa vipi kwaniKufungwa tumefungwa Yanga, ila maumivu mnayo vipaka, Yanga wamejitahidi sana. Kwanza simba mlioenda Taifa mjue Manji kawaingiza bureeeee...
#teamyangaforever#
Mikia mmefrahi sana, hapa nakunywa bia za mikia wananunuaujue kuna kijiraha fulani hivi nakipataga wakifungwa yanga,sijui nikisemeje sema nikijifuraha vipi fulani...
Mkuu matusi hayo kwa hyo Yanga ni chura😀😀😀😀😀😀😀Chura naruka ruka chura!
Ha ha ha, Snuraaaaaaa!
Mkuu matusi hayo kwa hyo Yanga ni chura😀😀😀😀😀😀😀
Uwezo wa kuingia hamna mmeingizwa bure, siye yetu yanatuendea. Kufungwa ni sehemu ya mchezo. Tuwaulize nyie paka wa matopeni. Sisi habari yetu ndio hiyo...ndio tumeingia bure na bao mmepigwa vipi kwani
Kufungwa tumefungwa Yanga, ila maumivu mnayo vipaka, Yanga wamejitahidi sana. Kwanza simba mlioenda Taifa mjue Manji kawaingiza bureeeee...
#teamyangaforever#
Young Africans daimaKwani ajabu iko wapi?Kufungwa ni sehemu ya mchezo.
Na timu yangu kipenzi Yanga wamecheza vizuri...bahati haikuwa yetu.
Period.