Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Kufungwa tumefungwa Yanga, ila maumivu mnayo vipaka, Yanga wamejitahidi sana. Kwanza simba mlioenda Taifa mjue Manji kawaingiza bureeeee...
#teamyangaforever#
 
Haya mpira wa kwenye pitch umeisha tunahamia kwenye magazeti sasa huku hata Barcelona inakaa.
Huku kwenye magazeti kama ni makombe nafikiri yamekosa hata sehemu ya kuyaweka maana sisi wa kimataifa baba ila tunakufaga kiume, teh teh teh
 
nipo hapa na jeni muro analia balaaa naskia sauti imekauka so hatofanya interview yeyote
 
Futari ya Jioni hii itakuwa nzuri,zile kelele zote kwisha
 
Sikiliza magazeti asubuhi tp mazembe wanaondoka na mahadhi wa yanga bwana!
 
Tulituma shushushu Lubumbashi kwahiyo lipoti yote tunayo juu ya mazembe lazima wapigwe tu TP mazembe.
 
84ef11c1594c447801572787d2e444c2.jpg
 
ndio tumeingia bure na bao mmepigwa vipi kwani
Uwezo wa kuingia hamna mmeingizwa bure, siye yetu yanatuendea. Kufungwa ni sehemu ya mchezo. Tuwaulize nyie paka wa matopeni. Sisi habari yetu ndio hiyo...
 
Back
Top Bottom