Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Sasa mchana watakula nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kula sio ishu kwao ndo maana unawaona wapo hapo,isitoshe kuna vitu vingi vya kula vinauzwa kiwanjani,na pia usisahau kuna wengine wamefunga.Sasa mchana watakula nini?
Yaah!! Nimekuelewa hapo bro!! Wengi wamefunga so hawaoni hatari kulala hapo uwanjani.. Ila Jerry Muro katumia bonge la akili manake uwanja utafurika na kukaa ni sehemu yoyote ile. Dadeki!!!kula sio ishu kwao ndo maana unawaona wapo hapo,isitoshe kuna vitu vingi vya kula vinauzwa kiwanjani,na pia usisahau kuna wengine wamefunga.
Wengi wapo katika ajira isiyo rasmi,so usisikitike sana kwani wamejiajiri hao.Hivi leo si siku ya kaz??? Tz ajira bado sana
Mrundi wee, halafu unaishi nchini bila kibali,nakuripoti uhamiaji leo leo kama una deni unadai sehemu kadai kabisa leo ndo siku yako ya mwisho bongo,kesho unarudishwa kwa Nkurunziza ukashangilie timu za kwenu.Wapigweeeee yanga 0 tp 3
Wengi tunaokota makopo brotherWengi wapo katika ajira isiyo rasmi,so usisikitike sana kwani wamejiajiri hao.
Tehehehehehehe na leo yatakua mengi kweli kiwanjani .Wengi tunaokota makopo brother
ramadhan hii mkuu....tunasindikiza mweziSasa mchana watakula nini?
SWALI LA KIPIMAJOTO ITV. Je kujaa kwa uwanja wa Taifa siku ya Jumanne tangu saa moja asubuhi, Tatizo la ajira limeongezeka au mapenzi ya soka yameongezeka, au tabia ya kupenda bure imeongezeka?......Mimi nimejibu Sijui.....je wewe jibu lako