Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Kuna mabomu nje? Kisa nini?mechi ya aina yake. ndani mashabiki wanashangilia, nje mabomu yanarindima. Haitakuwa na implication yoyote kwa CAF dhidi ya Yanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mabomu nje? Kisa nini?mechi ya aina yake. ndani mashabiki wanashangilia, nje mabomu yanarindima. Haitakuwa na implication yoyote kwa CAF dhidi ya Yanga?
Jamani tupo mbali naomba link ya kustream mechi hiyo tafadhali.Natanguliza shukrani.
Hahahaah mlumendo oooh sorry chilumendo yanga wanashinda.kama yanga mpaka sasa hawajafungwa wamejitahidi sana
Hivi haikuwa penati Ile? Hata katika TV haijarudiwa.!Brilliant tackle
Ni heri leo upoteze stress za kutoswa Udc kwa kuchukia mirangi ya ccm!Yanga wanashambuliwa hatari.. Watapigwa goli muda si mrefu
Hivi haikuwa penati Ile? Hata katika TV haijarudiwa.!
wee katavi wewakwi mkombeHahahaah mlumendo oooh sorry chilumendo yanga wanashinda.
Wewe ni yupi katika hicho kikao waliovaa nyekundu?Mtangazaji anatangaza kwa kizulu anasema tp mazembe wanafunga 3 bila..
Chanel gani hiyo??Mtangazaji anatangaza kwa kizulu anasema tp mazembe wanafunga 3 bila..
wee katavi wewakwi mkombeHahahaah mlumendo oooh sorry chilumendo yanga wanashinda.
naona mashabiki walioshindwa kuingia uwanjani asubuhi wamegoma kuondoka. Bado wako nje ya uwanja.Kuna mabomu nje? Kisa nini?
mkombe katavi wamemzidia naniHahahaah mlumendo oooh sorry chilumendo yanga wanashinda.
Upo uwanja wa Manungu au Taifa.Washabiki kimyaaaa
Wa kuli chanji na mpandawee katavi wewakwi mkombe
yanga wapate goli mapema hawa jamaaa hawatabirikiNi heri leo upoteze stress za kutoswa Udc kwa kuchukia mirangi ya ccm!