Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Hiyo stream kipindi cha kwanza ilionesha vizuri sasa hivi imegoma kabisa.
 
Naangalia kupitia Bein Sport ya kiarabu, huyu mtangazaji eti anaita YONGA AFRIKAAS.
 
Mahazi ananyanyaswa haaah haah wa kimataifa vepeee wanadondoka sana
 
Back
Top Bottom