Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Hakuna kitu kibaya kama umeenda Taifa asubuhi sana, pengine umekunywa chai na andazi moja. Jua lako Mchana kutwa.
Jioni unashangilia dakika 90 halafu Timu yako inafungwa, mpira ukiisha inabidi upige mguu mpaka Buguruni ili upate usafiri wa kwenda Mbezi mwisho. Hayo ni mateso makubwa, bora Yanga ashinde hii mechi

Kwani Manji hajawalipia na nauli??
 
  • Thanks
Reactions: Lee
GOAAAAAAL limerudishwaaaaaaaaa yanga hoyeeeeeee
 
Wa kimataifa sijui leo watalala ma viatu. Walidhani wanaweza kuwafunga
 
Nipo kekojuu mida hii taifa kumetulia utadhani hakuna mechi inayoendelea!!
 
Back
Top Bottom