wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
mechi ya hiyo leo ni fujo tupu namtahadharisha mwamuzi wa leo achezeshe haki.fununu toka mbeya ni kampeni mkoa mzima eti lazima yanga afungwe na kuna habari juzi ktk mazoezi tambwe alizimia mwa muda cha umuhimu mwamuzi chezesha haki bila kupendelea kokote
vip kuhusu mikia unadhani atatoka kwa "chama la wana " hapo kambarage?Yanga anatandikwa leo
timu ya wananchi YANGA sio kama mikia iliyobanduliwa sebuleni kwakeMbeya City 2 Yanga 0
daima mbele nyuma mwiko............mungu ibariki yanga, mungu ibariki timu ya wananchimbeya city anakufa hapohapo mbele ya ndugu zake!