wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
mechi ya hiyo leo ni fujo tupu namtahadharisha mwamuzi wa leo achezeshe haki.fununu toka mbeya ni kampeni mkoa mzima eti lazima yanga afungwe na kuna habari juzi ktk mazoezi tambwe alizimia mwa muda cha umuhimu mwamuzi chezesha haki bila kupendelea kokote