Mechi ya Yanga na Azam yasogezwa mbele kuipa nafasi michuano ya AFL

Mechi ya Yanga na Azam yasogezwa mbele kuipa nafasi michuano ya AFL

Wangechezea uwanja wa Azam ili ratiba isibadilike lakini huenda wanaangalia maokoto
 
kaa kwa kutulia kijana kuna wazee humu, afu jiandae kumwona Wenger kwa mara ya kwanza na ya mwisho katika maisha yako. Pia kumbuka kwenye mpira wake duniani atakuwepo - wewe ni nani ?

Wahimize uto wenzio waje kujifunza pira linavyochezwa, ile siyo IHEFU 😀 😀

Hahaaahaa
 
Utopolo mkiambiwa AFL ni jambo kubwa mkubali tu..yaani NBC league inaonekana kama ndondo
nchi inakwenda kusimama kesho, Uto wasubiri mechi yao ya marudiano na IHEFU 😀 😀
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom