ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Sasa Baada ya Kuona Mikiki mikiki ya kukimbiana na kuogopana baina ya simba na yanga, ikichagizwa na mambo ya kishirikina na msururu wa majeruhi kwa timu ya Simba, hivyo kulingana na siasa za mpira wa tanzania na Ukubwa wa Simba na Yanga , ambazo kiuhalisia zina nguvu kuliko hata TFF na Bodi yake ya Ligi, nadhani baada ya CCM ni Yanga na simba ndio zinafuatia kwa ukubwa na nguvu ya ushawishi Kwa maana ya kwamba Mangungu anaweza kumshinda Samia kupitia simba.
Sasa mimi sina maneno mengi napenda kutoa Rai kwa Bodi ya Ligi , iweke mechi ya Simba na Yanga kuwa mechi ya mwisho kwa maana ya mechi ya 30 kwa simba na yanga, nadhani hiyo mechi ndo itakuwa vita vya tatu vya Dunia WWW3, kama msimamo wa ligi utakuwa bado ni tofauti ya pointi moja, waganga wataenda kuchukuliwa hadi zaire.
Game ya 30 ya Ligi ya NBC ya Yanga ni Dhidi ya Simba, na mechi ya Ligi ya 30 ya Simba itakuwa ni dhidi ya Yanga, tumalize mechi zingine zote, ili tukatoboane na spoku na bisibisi