Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mawazo yako kama yangu aisee, umeme siku hizi imekua kisingizioHuu umeme utakuwa kisingizio ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo yako kama yangu aisee, umeme siku hizi imekua kisingizioHuu umeme utakuwa kisingizio ujue
Hahahaaa. Msijali nipo tayari ila najua tunashinda.Hakuna shida ila ukubaliane na matokeo yoyote yatakayokuja
😂😂😂😂 ukiwepo mbona huwa nageuka Mwl Kashasha? Leo hakuna umeme ndio sababu Dada.🙈Huu umeme utakuwa kisingizio ujue
Tunampenda sana Shadeeya wetu sasa hao Yanga wasijetuletea balaa wakasababisha mapresha ya bure kwa shabiki waoHahahhaa eti asiangalie peke yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama nakuona uko moja haikai mbili haikaiAhsante Mwl Kashasha. [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Na siku hizi ujue huku hakuna kukatika umeme kabisaMawazo yako kama yangu aisee, umeme siku hizi imekua kisingizio
Kujipa moyo ni kawaida mbonaHahahaaa. Msijali nipo tayari ila najua tunashinda.
Hahahhahha siamini kama umeme hamna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwepo mbona huwa nageuka Mwl Kashasha? Leo hakuna umeme ndio sababu Dada.[emoji85]
Umeona eeh?Na siku hizi ujue huku hakuna kukatika umeme kabisa
Acha tu ndugu yangu. 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama nakuona uko moja haikai mbili haikai
Hahhaahahaah ukiangalia team benchi la ufundi havieleweki kabisaAcha tu ndugu yangu. [emoji23][emoji23]
Atayapata matokeo dakika kwa dakikaKwakweli ajikalie tu pembeni matokeo atayapata hapahapa
Mnipe na matokeo Dada. 😂😂Hahhaahahaah ukiangalia team benchi la ufundi havieleweki kabisa
Nayaombeni basi.Atayapata matokeo dakika kwa dakika
Baada ya goli la Ndemla jana, nilikutafuta bila mafanikioKwakweli ajikalie tu pembeni matokeo atayapata hapahapa