Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mawazo yako kama yangu aisee, umeme siku hizi imekua kisingizioHuu umeme utakuwa kisingizio ujue
πππAhsante Mwl Kashasha. πππ
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Hahahaaa. Msijali nipo tayari ila najua tunashinda.Hakuna shida ila ukubaliane na matokeo yoyote yatakayokuja
ππππ ukiwepo mbona huwa nageuka Mwl Kashasha? Leo hakuna umeme ndio sababu Dada.πHuu umeme utakuwa kisingizio ujue
Tunampenda sana Shadeeya wetu sasa hao Yanga wasijetuletea balaa wakasababisha mapresha ya bure kwa shabiki waoHahahhaa eti asiangalie peke yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama nakuona uko moja haikai mbili haikaiAhsante Mwl Kashasha. [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Na siku hizi ujue huku hakuna kukatika umeme kabisaMawazo yako kama yangu aisee, umeme siku hizi imekua kisingizio
Kujipa moyo ni kawaida mbonaHahahaaa. Msijali nipo tayari ila najua tunashinda.
Hahahhahha siamini kama umeme hamna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwepo mbona huwa nageuka Mwl Kashasha? Leo hakuna umeme ndio sababu Dada.[emoji85]
Umeona eeh?Na siku hizi ujue huku hakuna kukatika umeme kabisa
Acha tu ndugu yangu. ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama nakuona uko moja haikai mbili haikai
Hahhaahahaah ukiangalia team benchi la ufundi havieleweki kabisaAcha tu ndugu yangu. [emoji23][emoji23]
Atayapata matokeo dakika kwa dakikaKwakweli ajikalie tu pembeni matokeo atayapata hapahapa
Mnipe na matokeo Dada. ππHahhaahahaah ukiangalia team benchi la ufundi havieleweki kabisa
Nayaombeni basi.Atayapata matokeo dakika kwa dakika
Baada ya goli la Ndemla jana, nilikutafuta bila mafanikioKwakweli ajikalie tu pembeni matokeo atayapata hapahapa