Wenzetu mpo uzunguni. Huku umekata toka asubuhi nasikia.Na siku hizi ujue huku hakuna kukatika umeme kabisa
Mbona hamnipi jamaani hayo matokeo. [emoji12][emoji12]
Daah! Ahsante sana. πππKama kawaida yetu tunaongoza moja hadi dakika hii
Hivyo na leo point 3 za kwetu. Raha sana mwaka huu. Dkk ya ngapi?Kama kawaida yetu tunaongoza moja hadi dakika hii
Safi habari njema hiiKama kawaida yetu tunaongoza moja hadi dakika hii
Yaani njema sana aiseeeSafi habari njema hii
Huo umeme utakua unachagua kukatika kwa hapo kwako tu eeh Shadeeya , haya sasa naona umeme utakua umerudi kwa amatokeo haya ya nyie kuongoza kwa kabao kamoja
Kwa hali kama hiyo hutawaona tena watasingizia wako kwenye majukumu mengineSesten Zakazaka na Shunie [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] mmekimbilia wapi sa?
Au Mtandao unasumbua. πππKwa hali kama hiyo hutawaona tena watasingizia wako kwenye majukumu mengine
Ama umeme umekatika kwaoAu Mtandao unasumbua. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha. Umeonaeee.Ama umeme umekatika kwao
Utasubili sanaZajera nasikia kasepa!
Leo yanga anaukalia mkavu mkavu.
1-0Matokeo ya Yanga yanafichwa kama Kakakuona!
Yanga mnaongoza moja naona unahema sasaMnipe na matokeo Dada. [emoji23][emoji23]
Jamani sijaona mkuu wanguBaada ya goli la Ndemla jana, nilikutafuta bila mafanikio
Nimeshakupa jamani bado haujapata