MECHI YA YANGA SANGAPI WANAYANGA WENZANGUnAIPENDA YANGA BUREEEE

Nipo mkuu, nafurahia tu raha anayonipa yanga, toka aanze safari kuona watu wanavyoipokea huko njiani mpaka kufika arusha nikajikuta nadondosha machozi.

Ni kweli mtu unaweza ukatoa machozi kwa matokeo haya ya Yanga .kwani ikiwa katika mazingira magumu kiuchumi na kuonekana kuwa taasisi mbalimbali na baadhi ya viongozi kwenye nafasi nyeti wakiitakia mabaya lakini Yanga bado inashinda...Hii ni timu ya wananchi, timu ya wanyonge lakini ikiwa na mshikamano mkubwa kiushindi uwanjani...Hamasa za mashabiki wake nchi nzima ndiyo inayowapa nguvu wachezaji...Kumbuka Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi nchini...ni timu ya wanyonge na wenye maamuzi magumu wakati fulani...umoja ndio unaoleta matokeo...Mungu ibariki Yanga...Mungu wabariki Wanayanga wote...Mungu wabariki wachezaji wa Yanga...
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu. Pole sana
 
Umenikumbusha mwaka 1998 wakati Yanga imeingia ligi ya mabingwa Afrika viongozi wakaanza mizengwe kuhujumu timu kwa kutumia baadhi ya wachezaji Ikafanya vibaya . Ni bora timu ibaki mikononi mwa wanachama
 
yanga raha sana ni watoto wanaojilea ila mambo yao hatari sana

hivi zile kauli za tutaona mkitoka mikoani na ligi bado mbichi zimeishia wapi?

duh kilichonishangaza ni beki wa yanga aitwae Abdalla(ninja) kuwa na magoli sawa na foward wa simba aitwae john boko...aise yanga hukuna mfungaji rasmi wote ni wafungaji
 
Mdau tulicheza jana na kuwapa amani na furaha vijana na ndugu zetu wote wa mikoa pendwa ya kaskazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…