Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wake hamjawahi kutoka salama, hilo halinipi shida.Hilo ni geti la simba, yanga anapita kama hapana kitu
Alichokipata huku ndo hichohicho atakipata kule kwao hatuna mambo ya ugenini sisi.Uzuri wake hamjawahi kutoka salama, hilo halinipi shida.
Usitie shaka tutakuwa wote j2 tukiiombea YangaKaribu naona ulikua umejificha, Jana cjakusoma kabisa
Yanga tunasonga mbele....1-0
Hahahahaaa uckose na usikimbieUsitie shaka tutakuwa wote j2 tukiiombea Yanga
Kama ni shabiki wa mikia huwezi kumuonaHivi Ndugu yangu Sebo yumo humu siku hizi???!!!
Siwezi kukimbia naiamini timu yangu ya Yanga toka ZambiaHahahahaaa uckose na usikimbie
Nipo mkuu, nafurahia tu raha anayonipa yanga, toka aanze safari kuona watu wanavyoipokea huko njiani mpaka kufika arusha nikajikuta nadondosha machozi.
Umeongea kwa uchungu sana mkuu. Pole sanaNi kweli mtu unaweza ukatoa machozi kwa matokeo haya ya Yanga .kwani ikiwa katika mazingira magumu kiuchumi na kuonekana kuwa taasisi mbalimbali na baadhi ya viongozi kwenye nafasi nyeti wakiitakia mabaya lakini Yanga bado inashinda...Hii ni timu ya wananchi, timu ya wanyonge lakini ikiwa na mshikamano mkubwa kiushindi uwanjani...Hamasa za mashabiki wake nchi nzima ndiyo inayowapa nguvu wachezaji...Kumbuka Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi nchini...ni timu ya wanyonge na wenye maamuzi magumu wakati fulani...umoja ndio unaoleta matokeo...Mungu ibariki Yanga...Mungu wabariki Wanayanga wote...Mungu wabariki wachezaji wa Yanga...
Ule wa Bunju umeisha?ule uwanja wa Kaunda utaisha lini
Tupo kwenye porosesiUle wa Bunju umeisha?
Sembo ndio alikuwa analeta updates za huo uwanja humu sijui kafia wapiTupo kwenye porosesi
Umenikumbusha mwaka 1998 wakati Yanga imeingia ligi ya mabingwa Afrika viongozi wakaanza mizengwe kuhujumu timu kwa kutumia baadhi ya wachezaji Ikafanya vibaya . Ni bora timu ibaki mikononi mwa wanachamaNi kweli mtu unaweza ukatoa machozi kwa matokeo haya ya Yanga .kwani ikiwa katika mazingira magumu kiuchumi na kuonekana kuwa taasisi mbalimbali na baadhi ya viongozi kwenye nafasi nyeti wakiitakia mabaya lakini Yanga bado inashinda...Hii ni timu ya wananchi, timu ya wanyonge lakini ikiwa na mshikamano mkubwa kiushindi uwanjani...Hamasa za mashabiki wake nchi nzima ndiyo inayowapa nguvu wachezaji...Kumbuka Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi nchini...ni timu ya wanyonge na wenye maamuzi magumu wakati fulani...umoja ndio unaoleta matokeo...Mungu ibariki Yanga...Mungu wabariki Wanayanga wote...Mungu wabariki wachezaji wa Yanga...
Mzoefu wa kuukalia, aliukalia wa Mbao.Zajera nasikia kasepa!
Leo yanga anaukalia mkavu mkavu.
Sembo ni Mzee wa machale. Keshaona giza mbele msimu huu, kasepa taratibu.Sembo ndio alikuwa analeta updates za huo uwanja humu sijui kafia wapi
😎😎😎😂😂😂😂 Sesten kakimbia ujue. 😂😂 au umeme na yeye kwake umekatika? 😂😂😂
Hampiti pale ccm kirumba mbele ya mbao