Bora umeona dadaHalafu uwe unatetea nyuzi zako sio unazianzisha kisha unakimbia. [emoji23][emoji23][emoji23] Pambana nao tu hivyo hivyo.
Huwa hajibu kitu yaani akianzisha tu anasepa.Bora umeona dada
Kutetea hoja nako kipaji. Cha kufurahisha jana tumejumlisha point 3 nyingine. Yanga haina cha mikoani wala wilayani labda waangalie namna ya kupeleka timu vijijini na ZanzibarHuwa hajibu kitu yaani akianzisha tu anasepa.
Yaani ni mbele kwa mbele tu haina kurudi nyuma hiyooo. Na wakisema hata huko Zanzibar nako tutawafyekelea mbali.Kutetea hoja nako kipaji. Cha kufurahisha jana tumejumlisha point 3 nyingine. Yanga haina cha mikoani wala wilayani labda waangalie namna ya kupeleka timu vijijini na Zanzibar
Yaani ni mbele kwa mbele tu haina kurudi nyuma hiyooo. Na wakisema hata huko Zanzibar nako tutawafyekelea mbali.
Hahahaha ,si mchezoHuwa hajibu kitu yaani akianzisha tu anasepa.
Mkuu jana tulifunga ngapi?Yaani ni mbele kwa mbele tu haina kurudi nyuma hiyooo. Na wakisema hata huko Zanzibar nako tutawafyekelea mbali.
Tulifunga moja Mkuu. Tukazoa point 3 kama kawa.Mkuu jana tulifunga ngapi?
Hahahaaaa. Ndio Yanga hiyo.Hahahaha ,si mchezo
Hahahaaaa. Ndio Yanga hiyo.
πππ umefanya nicheke kwa sauti. Haya bana eti Mtani....... oooh Sorry Rafiki. ππ Hiyo ndio Yanga.Hahahaha, Mtani ...oooh sorry Rafiki, Yanga kiboko ,hapana chezea Yanga
Hahahaha haya bana[emoji23][emoji23][emoji23] umefanya nicheke kwa sauti. Haya bana eti Mtani....... oooh Sorry Rafiki. [emoji23][emoji23] Hiyo ndio Yanga.
Kwa sensa ya mwaka gani mkuu? National Board of Statistics wanataarifa hizi? πππKumbuka Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi nchini..
Kwa sensa ya mwaka gani mkuu? National Board of Statistics wanataarifa hizi? πππ
Jangwani kwa kujifariji bana!, eti Yanga ndio timu yenye washabiki wengi hapa nchini!!! Lakini anyways ni njia ya kupunguza machungu ya hali ya kiuchumi kwa timu ya 'wananchi"
1954 nimecheka sana mkuu kwa jibu lako, ila nadhani wewe unaweza kufaa kwenye nafasi ya Uspika wa Bunge letu maana miongoni mwa sifa zitakiwazo ni uwezo wa kuhesabu sauti moja moja za ndio na hapana na kujua idadi yake kua zipi ni nyingi tena kwa muda mfupi tu wa sekunde chache uwe umeshapata jibuWewe Ndugu yetu unaonaje??!! Labda 'wekundu wa Msimbazi' ndio wengi?! Fanya utafiti rahisi: Kwenye mkusanyiko wa watu kumi chunguza kwa makini ni wapenzi gani ni wengi kati ya 'jangwani' na 'wekundu wa msimbazi"...
Aaa wapHistoria mpya inaenda kuandikwa.