MECHI YA YANGA SANGAPI WANAYANGA WENZANGUnAIPENDA YANGA BUREEEE

Nasikia tff wanatafuta timu ya kuhamia Zanzibar uwanja wa nyumbani labda yanga itakwama walau mechi moja. Ngoja tuone mwisho wake
 
Kumbuka Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi nchini..
Kwa sensa ya mwaka gani mkuu? National Board of Statistics wanataarifa hizi? 😀😀😀

Jangwani kwa kujifariji bana!, eti Yanga ndio timu yenye washabiki wengi hapa nchini!!! Lakini anyways ni njia ya kupunguza machungu ya hali ya kiuchumi kwa timu ya 'wananchi"
 
Wewe Ndugu yetu unaonaje??!! Labda 'wekundu wa Msimbazi' ndio wengi?! Fanya utafiti rahisi: Kwenye mkusanyiko wa watu kumi chunguza kwa makini ni wapenzi gani ni wengi kati ya 'jangwani' na 'wekundu wa msimbazi"...
 
1954 nimecheka sana mkuu kwa jibu lako, ila nadhani wewe unaweza kufaa kwenye nafasi ya Uspika wa Bunge letu maana miongoni mwa sifa zitakiwazo ni uwezo wa kuhesabu sauti moja moja za ndio na hapana na kujua idadi yake kua zipi ni nyingi tena kwa muda mfupi tu wa sekunde chache uwe umeshapata jibu

Ila kwa jibu lako la nani wengi kati ya mashabiki wa Simba na Yanga acha tu nisiongeze neno
 
Weupe wa msimbazi hawawezi kuwazidi wapenzi wa Yanga hata wakijichanganya na magabacholi woote !
 
Back
Top Bottom