Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu naona ulikua umejificha, Jana cjakusoma kabisaMbumbumbu watuchagulie mkoa wa kucheza
Watawaambia mechi zote zichezwe nyumbani maana huko mlipata hata droo lakini siyo mikoaniMbumbumbu watuchagulie mkoa wa kucheza
Na badooo.Wataumia sana mwaka huu.Mpira umeisha hapa arusha yanga 1 African Lyon 0. Mbumbumbu endeleeni kuumia
😂😂😂😂 leo sijui watasingizia nini.Watawaambia mechi zote zichezwe nyumbani maana huko mlipata hata droo lakini siyo mikoani
Pole kwa maumivu Mkuu.Karibu naona ulikua umejificha, Jana cjakusoma kabisa
Hampiti pale ccm kirumba mbele ya mbaoNa badooo.Wataumia sana mwaka huu.
Yanga ileeeeeeee.
Na wameishiwa maneno ya kuisema yanga kilichowabakia ni maumivu tuNa badooo.Wataumia sana mwaka huu.
Yanga ileeeeeeee.
Kisa nyie hamkupita basi mnajua na sisi hatutapita. Tuombe uzima Insha Allah ili tusije kukimbiana humu.Hampiti pale ccm kirumba mbele ya mbao
Mpira umeisha mamaDkk ya ngapi sasa?
Usijali MkuuJamani sijaona mkuu wangu
Sema kweli jamaniNa badooo.Wataumia sana mwaka huu.
Yanga ileeeeeeee.
Nyuma mwiko.Yanga tunasonga mbele....1-0
Afadhali. 🙏🙏🙏 ahsante sana.Mpira umeisha mama
Hilo ni geti la simba, yanga anapita kama hapana kituHampiti pale ccm kirumba mbele ya mbao
Hahahaaaa. Pole yao.Na wameishiwa maneno ya kuisema yanga kilichowabakia ni maumivu tu
😂😂😂😂 Sesten kakimbia ujue. 😂😂 au umeme na yeye kwake umekatika? 😂😂😂Sema kweli jamani