Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba, hata zile za CAF

Sasa huoni kuwa YANGA ndo baba lao
Mechi mbili kubwa za Simba =454m

Mechi moja kubwa yanga = 320m
Sawa, kwa nini Yanga imecheza mechi moja kubwa, na sio mbili? 😂
 
Data za kupika za haji manara ila ajifurahishe nafsi yake ili aonekane yeye ni bora kuliko wengine ila manara kama ni kichaa basi ni ile stage ya mwisho kabisa.
Hapanaaaa mkuu......hizi sio za kupika coz TFF wangemfungia kutoa report za uongo
 
Data za kupika za haji manara ila ajifurahishe nafsi yake ili aonekane yeye ni bora kuliko wengine ila manara kama ni kichaa basi ni ile stage ya mwisho kabisa.
Hapanaaaa mkuu......hizi sio za kupika coz TFF wangemfungia kutoa report za uongo
 
Hoja yangu ni kwamba, inaongoza kwa mechi ngapi? Kumbuka hapo zimetajwa Yanga, Simba na Orlando tu, lakini ilikuwapo Jwaneng Galaxy, Red Arrows, Berkane, ASEC na USGN, pamoja na Rivers
It means hizo zilikuwa na mapato chini ya hayo yaliyotajwa
 
Sisi ndiyo tunaujaza uwanja japo kuwa wasemaji hawapandi maroli kuhamasisha mashabiki
 
Juzi ameweka picha ya mashabiki siku ya Yanga Day akidai ni picha ya derby ya juzi, bahati nzuri watu wakayashtukia maspika ya Koffi Olomide [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu...koo unabishana na takwimu[emoji23][emoji23]
Tatizo lako waga unajitoa ufahamu linapokuja swala la Yanga, hakuna sehemu Mie nimekataa takwimu ni kweli kabisa inawezekana Yanga amevuta mpunga mrefu kwakuwa team mwenyeji ndio hupokea gate collection

Lakini katika takwimu za miaka mingi Tu katika kariakoo Derby mashabiki wa Simba ndio huingia wengi na Yanga kunufaika kupitia Hilo, ata last season wakat takwimu zinatoka Yanga wameongoza Kwa kupata mapato ni Kwa sababu hiyo Tu

Mie nachopinga ni Manara na Senzo kuwaaminisha watu kuwa mwenye derby ya Juzi eti mashabiki wa Yanga walikuwa wengi, na baadhi ya wajinga wanapostiwa picha za kwenye Tamasha la siku ya wananchi wakiaminishwa ilikuwa ni Juzi na wao wanakubali

Kitu mnachotakiwa kufanya ni kwenda uwanjani kusapoti team yenu kwenye derby na sio kuishia humu tu alafu Kwa mkapa hamuendi hadi viongozi wenu Wanaona aibu kupost picha original, maana kuzunguka kote kule Kwa Manara na Bumbulikwenye media kuipromo Derby hakujazaa matunda yoyote, mnakuja kuzidiwa idadi na team ambayo sio mwenyeji na wala haijazunguka kufanya promo
 
Sisi ndiyo tunaujaza uwanja japo kuwa wasemaji hawapandi maroli kuhamasisha mashabiki
Leta picha hapa inayoonesha nyie ndio mlijaza uwanja tuone...! Kwani nyie si mlikuwa kwenye club bingwa mkacheza na kina Rivers vipi na nyie mlivuna milioni ngapi nyie kama nyie?

Yanga anategemea mapato kutoka Kwa mashabiki wa Simba full stop, hutaki basi leta ushahidi hapa nyie ni wengi kuliko Simba kwenye derby, kama hujaleta picha za siku ya wananchi
 
Hapana mkuu....tajiri Ni GSM siyo YANGA
Kwani hayo mapato ya mlangoni si yanaenda klabuni Yanga? GSM yeye ni muuza jezi tu, auze anavyotaka lakini atuletee sh. 1,300/= kwa kila jezi anayouza. Bado nasisitiza, kwa mapato hayo ya mlangoni, Yanga ni klabu tajiri kuliko zote hapa nchini
 
Kama Msimu uliopita Yanga ilikua haifanyi vizuri bado takwimu zilionyesha Yanga Ili ingiza mashabiki wengi uwanjani katika mechizake iyo aijalishi ni mechi za Simba na Yanga au Yanga na Azam, Kwaiyo msimu huu itakua zaidi kwakua Yanga inafanya vizuri.

Mambo ya Yanga kuingiza Mashabiki wengi viwanjani haija anza Leo Wala Jana ni tukio la miaka mingi tangu miaka ya 1960 uko.

Kama unahisi takwimu zinapikwa basi jaribu kuuliza Pale Zanzibar wao wanatakwimu nyingi za Mapinduzi cup, kule Mechi za Yanga Zina wastani wa kufunika Kwa wingi wa mashabiki kuliko timu yoyote inayo shiriki michuano iyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…