Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba, hata zile za CAF

Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba, hata zile za CAF

Swali ni , Je,viingilio vinafanana kwa mechi hizo?

Yaani mwenyeji akiwa Yanga na mwenyeji akiwa Simba viingilio vimefanana?
Viingilio Mara nyingi vinakuwa affordable.....so it means vinafanana....kwny mech za ligi kuu
 
Onesha gazeti la pili likionesha robo fainali nyingine na nusu japo 1 ili kudhihirisha kweli ninyi ni bora kuliko Simba Sc
Ubora wa YANGA Ni kuwa wamechukua ubingwa Mara nyingi zaidi kuliko timu zingine
 
Juzi ameweka picha ya mashabiki siku ya Yanga Day akidai ni picha ya derby ya juzi, bahati nzuri watu wakayashtukia maspika ya Koffi Olomide 😂
Yani hapo ndio nilipoona jamaa anatumia nguvu kubwa sana kujiona wao ni wakubwa hadi kufikia hatua anapotosha
 
Wala sio uongo ni kweli aliongoza ila ni msimu uliopita Tu na sio kawaida yao, na aliongoza Kwa sababu ya mashabiki wa Simba kuingia wengi kwenye derby zote 2, Yani haijarishi Yanga ni mwenyeji au mgeni bali mashabiki wa Simba ndio huwa wengi

Sasa leo hii Manara anahusisha kuingia mashabiki wao wengi na wao kuingiza mapato mengi, Hadi anapost picha za siku ya wananchi mwaka Jana ili Tu aaminishe watu kwamba Yanga walikuwa wengi katika Derby ya Juzi kuliko Simba

Ukiangalia namba katika Derby ya Juzi ni almost robo 3 ya uwanja walikuwa ni mashabiki wa Simba ilhali Yanga ndio mwenyeji, alafu leo kiongozi kama Senzo anapost picha za mwanachi day ni aibu nayeye kufata mkumbo wa ndugu yetu Manara

inaonekana ata viongozi wa Yanga na wao wanapenda kuona mashabiki wa Yanga wawe wanaingia wengi kwenye derby ili ionekane tofauti na miaka ingine, ila ndo hivo tena sijui mashabiki wa Yanga waga wanaogopa nini kwenda wengi kwenye derby na ata kama wao ndio wapo kwenye form nzuri ila waga hawaendi wengi
Mbona umepuyanga,so unataka kusema mapato ya game zote 2 za derby ndio yalifanya Yanga aongoze kwa mapato,we jamaa kweli kila..,msimu uliopita match zote 2 za derby mapato alichukua Yanga,then naona hata hii game ya juzi ukuwepo uwanjani,mashabiki wa Yanga walijaza orange,blue na kijani kwa upande wao,mikia hiyo orange kulikua na magap na kule juu ndio kabisa amkua wengi
 
Mbona umepuyanga,so unataka mapato ya game 2 ndio yalifanya Yanga aongoze kwa mapato,we jamaa kweli kila..,msimu uliopita match zote 2 za derby mapato alichukua Yanga,then naona hata hii game ya juzi ukuwepo uwanjani,mashabiki wa Yanga walijaza orange,blue na kijani kwa upande wao,mikia hiyo orange kulikua na magap na kule juu ndio kabisa amkua wengi

Ni kweli mkuu ata Mie naona mlijaza
Screenshot_2022-05-02-09-35-25-654_com.instagram.android.jpg
 
Acha ukilaza,zoom hiyo picha uone Yanga walijaa mpaka kijani kule kwa upande wao,hii imepigwa orange ya upande wa tv ya uwanjani
Acha ujinga wewe, kwahiyo we unaona kuna haja ya kuzoom hiyo picha? We huoni Kama Robo Tatu ya Mashabiki wa Simba wamejaa Hadi kwenye jukwaa la Yanga?

Nikizoom ndio mashabiki wa Yanga watajaa kwenye picha? Au umeangalia picha ulizopostiwa na Manara za siku ya wananchi ndio unadhania za derby ya Juzi, nendeni uwanjani sio maneno mengi jamii forum alafu uwanjani hamuendi
 
Ngoja nikukumbushe title ya uzi, maana naona umeanza kuzungumzia wingi:

Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba...hata zile za CAF​

Mechi za Simba hata zile za caf ni tofauti na mechi zote za Simba hata zote za caf
 
Back
Top Bottom