Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba, hata zile za CAF

[emoji23][emoji23][emoji23]Amna mkuu...Ni reality
 
Nadhani hujaelewa mada inahusu nini mkuu, hatuongelei Yanga kuingiza mashabiki wengi Bali inaongelewa kuwa Yanga ameingiza mapato mengi katika Derby iliyopita

Na hakuna mtu anakataa hiyo, ni kweli ila shida inakuja kwenye Nani kaingiza mashabiki wengi katika huo mchezo husika?

Yanga ananufaika na uwepo wa mashabiki wengi uwanjani katika Derby ambayo yeye ni mwenyeji, mfano derby ya Juzi mashabiki wa Simba walikuwa robo Tatu ya uwanja na Mashabiki wa Yanga ikiwa robo iliyobakia

Sasa kwa takwimu hizi sidhani kama kuna haja ya kujisifia mmeingiza mapato mengi ilhali yametokana na uwepo wa mashabiki wengi wa team pinzani, na haya yote yanatokana na Manara kutaka kuaminisha watu kuwa game ya Juzi wao ndio walikuwa wengi na kuishia kupost picha za siku ya wananchi ya mwaka Jana

Kwahiyo kuhusu Yanga kuongoza kuingiza mashabiki wengi na get collection last season hiyo yote imetokana na Mashabiki wa Simba kuwa wengi kwenye derby, takwimu zinaonesha yanga iliizidi Simba mashabiki kama elf 3 hivi, ila katika michezo yote ya derby Simba ni wengi

Muanze kwenda Kwa wingi katika kariakoo Derby kuisapoti team yenu na sio kusubiri hadi viongozi wenu wapost picha za uongo Kwa aibu, haiwezekani wahamasishaji wawili wanapisha kwenye media kufanya promo alafu mashabiki wanaingia robo uwanja
 
Sisi huwa hatufichi statistics mkuu
 
Kwani hayo mapato ya mlangoni si yanaenda klabuni Yanga? GSM yeye ni muuza jezi tu, auze anavyotaka lakini atuletee sh. 1,300/= kwa kila jezi anayouza. Bado nasisitiza, kwa mapato hayo ya mlangoni, Yanga ni klabu tajiri kuliko zote hapa nchini
Yaaah mapato yanaenda kwa timu
 
Kabisa mkuu....,..nadhani tafsiri ya neno WANANCHI inajulikana
 
Yanga ni fake kwa vitu vingi ,imagine timu inayotajwa kuchukua ubingwa mara 28 haijawahi hata kuingia nusu fainali Klabu bingwa Africa wakati aliyechukua mara 22 kafika huko na kafika Robo nyingi tu.
That means hata ubingwa wake mara nyingi haureflect ubora wake
 
Mkuu.... YANGA imefika huko miaka mingi Sana
 
Kama tu moo amewapiga kitu kizto michango ya ujenz wa uwanja.......

Sisi ni Nani tusipende pesa[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo utopolo inakuwa kubwa inapocheza na Simba tu? Maana utopolo imecheza na Rivers utd hapo hapo kwa Mkapa na hatujaona takwimu ya mapato ikiwekwa wazi.
 
Swali ni , Je,viingilio vinafanana kwa mechi hizo?

Yaani mwenyeji akiwa Yanga na mwenyeji akiwa Simba viingilio vimefanana?
 
Kwa hiyo utopolo inakuwa kubwa inapocheza na Simba tu? Maana utopolo imecheza na Rivers utd hapo hapo kwa Mkapa na hatujaona takwimu ya mapato ikiwekwa wazi.
Mkuu Kwan wew unadhani rivers United ni timu kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…