Ndio maana nimekuuliza yanga inakuwa kubwa inapocheza na Simba tu? Kama yanga timu kubwa imecheza na timu ndogo ya Rivers utd na hatuoni mkijivunia hayo mapato sasa hamuoni hayo mapato mnayojivunia sasa yametokana na mliecheza nae (simba)?Mkuu Kwan wew unadhani rivers United ni timu kubwa?
YangaSimba au YANGA,?
Yanga wengi jamaa yanguHoja yangu ni kwamba, inaongoza kwa mechi ngapi? Kumbuka hapo zimetajwa Yanga, Simba na Orlando tu, lakini ilikuwapo Jwaneng Galaxy, Red Arrows, Berkane, ASEC na USGN, pamoja na Rivers
Mechi ya Orlando na Simba hujaiona?Mbna nyie hamjaweka[emoji23][emoji23]
Yani hapo ndio nilipoona jamaa anatumia nguvu kubwa sana kujiona wao ni wakubwa hadi kufikia hatua anapotoshaJuzi ameweka picha ya mashabiki siku ya Yanga Day akidai ni picha ya derby ya juzi, bahati nzuri watu wakayashtukia maspika ya Koffi Olomide 😂
Mbona umepuyanga,so unataka kusema mapato ya game zote 2 za derby ndio yalifanya Yanga aongoze kwa mapato,we jamaa kweli kila..,msimu uliopita match zote 2 za derby mapato alichukua Yanga,then naona hata hii game ya juzi ukuwepo uwanjani,mashabiki wa Yanga walijaza orange,blue na kijani kwa upande wao,mikia hiyo orange kulikua na magap na kule juu ndio kabisa amkua wengiWala sio uongo ni kweli aliongoza ila ni msimu uliopita Tu na sio kawaida yao, na aliongoza Kwa sababu ya mashabiki wa Simba kuingia wengi kwenye derby zote 2, Yani haijarishi Yanga ni mwenyeji au mgeni bali mashabiki wa Simba ndio huwa wengi
Sasa leo hii Manara anahusisha kuingia mashabiki wao wengi na wao kuingiza mapato mengi, Hadi anapost picha za siku ya wananchi mwaka Jana ili Tu aaminishe watu kwamba Yanga walikuwa wengi katika Derby ya Juzi kuliko Simba
Ukiangalia namba katika Derby ya Juzi ni almost robo 3 ya uwanja walikuwa ni mashabiki wa Simba ilhali Yanga ndio mwenyeji, alafu leo kiongozi kama Senzo anapost picha za mwanachi day ni aibu nayeye kufata mkumbo wa ndugu yetu Manara
inaonekana ata viongozi wa Yanga na wao wanapenda kuona mashabiki wa Yanga wawe wanaingia wengi kwenye derby ili ionekane tofauti na miaka ingine, ila ndo hivo tena sijui mashabiki wa Yanga waga wanaogopa nini kwenda wengi kwenye derby na ata kama wao ndio wapo kwenye form nzuri ila waga hawaendi wengi
Bodi ya Takwimu TanzaniaManara alipata wapi takwimu za mapato ya mechi ya simba na orlando
Mbona umepuyanga,so unataka mapato ya game 2 ndio yalifanya Yanga aongoze kwa mapato,we jamaa kweli kila..,msimu uliopita match zote 2 za derby mapato alichukua Yanga,then naona hata hii game ya juzi ukuwepo uwanjani,mashabiki wa Yanga walijaza orange,blue na kijani kwa upande wao,mikia hiyo orange kulikua na magap na kule juu ndio kabisa amkua wengi
Acha ukilaza,zoom hiyo picha uone Yanga walijaa mpaka kijani kule kwa upande wao,hii imepigwa orange ya upande wa tv ya uwanjaniNi kweli mkuu ata Mie naona mlijaza View attachment 2208518
Acha ujinga wewe, kwahiyo we unaona kuna haja ya kuzoom hiyo picha? We huoni Kama Robo Tatu ya Mashabiki wa Simba wamejaa Hadi kwenye jukwaa la Yanga?Acha ukilaza,zoom hiyo picha uone Yanga walijaa mpaka kijani kule kwa upande wao,hii imepigwa orange ya upande wa tv ya uwanjani
Mechi za Simba hata zile za caf ni tofauti na mechi zote za Simba hata zote za cafNgoja nikukumbushe title ya uzi, maana naona umeanza kuzungumzia wingi:
Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba...hata zile za CAF