Duh! huu uwanja jinsi ulivyo ina maana mkifunga goli centre half inabidi aje amwambie goli kipa tumeisha wapa moja huko coz kwa ulivyo bondeni hivyo ni dhahiri magolikipa hawaonani.
Ugomvi huo wakiibuka hapa!Huu uwanja hauna tofauti na ule wa Wamatopeni uliopo Bunju.
Huu uwanja hauna tofauti na ule wa Wamatopeni uliopo Bunju.
Jana dua zenu zimegonga mwambaHahhaha kweli nyan haoni lekundu bunju na pale mafuriko kaunda mkopo fc wap matopeni?
Kagoli kamoja 2 ndondokelaJana dua zenu zimegonga mwamba
Kagoli kamoja 2 ndondokela