Mechi Yaahirishwa Kupisha Fungate Unguja

Mechi Yaahirishwa Kupisha Fungate Unguja

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
13938628_679815982174275_7585569838464632710_n.jpg

Mchezo wa mpira wa miguu ligi kuu ya Zanzibar kanda ya ungunja uliotakiwa kuchezwa leo kati ya timu ya Polisi v/s Africa magic umeaahirishwa baada ya mchezaji mmoja wa Africa magic kutoa ripoti kuwa anaoa.Maridhiano pande zote yamefanyika na leo mchezo hauta kuwepo hadi siku nyingine.

``SI SHERIA ILA TUMEKUBALIANA TUMEANGALIA UBINAADAMU,MUACHE ACHUKUE JIKO GEMU IMEPANGWA TAR:24 MWEZI HUU,,
 
Back
Top Bottom