Mechi yaingiza elfu Tisa(9000)

Mechi yaingiza elfu Tisa(9000)

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Mechi ya Tanzania Prisons vs Biashara United imeingiza Tsh 9,000, kufuatia watu watatu tu kukata tiketi za Tsh 3,000 kila mmoja. Mechi hiyo imechezwa leo Jumamosi kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya na timu hizo kutoka suluhu

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Back
Top Bottom